FT: RUVU SHOOTING 0 VS 3 AZAM FC
Dakika 45` za kipindi cha pili zimekatika na zimeongezwa dakika 3`
Dakika ya 42` kipindi cha pili, Azam bado wanaongoza
Dakika 40` kipindi cha pili zimeshakatika, Azam fc wanaongoza kwa mabao 3-0
Dakika ya 36` Gaudence Mwaikimba anakwenda benchi nafasi yake inachukuliwa na Jabir Aziz `Stima`
Dakika 35` kipindi cha pili zimeshaondoka, Azam fc wanaongoza
Dakika ya 29` kipindi cha pili, Azam fc bado wanaongoza
Dakika 25` za kipindi cha kwanza zimeshakatika, Azam fc wanaongoza kwa mabao 3-0
Dakika ya 21` kipindi cha pili, Kipre Tchetche anakwenda benchi nafasi yake inachukuliwa na Kelvin Friday.
Dakika ya 15` zkipindi cha pili zimeshakatika, Azam fc wakiwa mbele kwa mabao 3-0
Dakika ya 13` Azam fc bado wapo mbele kwa mabao matatu
Dakika ya 7` kipindi cha pili Azam fc wapo mbele kwa mabao matatu
Dakika ya 1` kipindi cha pili Kipre Herman Tchetche anaipatia Azam fc bao la Tatu
Kipindi cha pili kimeanza
HT: RUVU SHOOTING 0 VS 2 AZAM FC
Dakika 45` zimeshakamilika na zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 37` Hamid Mao Mkami anaipatia bao la pili Azam baada ya kumalizia krosi iliyochongwa na Erasto Nyoni
Dakika ya 33` kipindi cha kwanza Azam fc bado wapo mbele kwa bao moja.
Dakika ya 28` kipindi cha kwanza Azam fc bado wako mbele kwa bao moja kwa bila.
Dakika ya 21` kipindi cha kwanza Azam fc `Wana Lambalamba` wanaongoza kwa bao 1-0.

Dakika ya 8` kipindi cha kwanza Gaudence Mwaikimba anaipatia bao la kwanza Azam fc.
Mpira umeanza hapa Mabatini
RUVU SHOOTING 0 VS 3 AZAM FC
KIKOSI CHA AZAM FC
Team today
1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Gadiel Michael
4. David Mwantika
5. Agrey Moris
6. Michael Bolou
7. Himid Mao
8. Sallum Abubakar
9. Gaudence Mwaikimba
10. John Bocco
11. Kipre Tchetche
Subs
1. Mwadini Ally
2. Said Morad
3. Jabir Aziz
4. Brian Umony
5. Kelvin Friday
6. Mudathir Yahya
7. Khamis Mcha
0 comments:
Post a Comment