Baadhi ya wafanyabiashara walitumia fursa ya ujio wa Yanga mkoani Kilimanjaro kuuza jezi za timu hiyo pamoja na Simba. |
Maelefu ya mashabiki wa mchezo wa soka walifurika uwanjani kushuhudia pambano hilo. |
Basi la Yanga likiwasili katika uwanja wa Ushirika . |
Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm akishuka kwenye basi. |
Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali akiingia uwanjani hapo. |
Golipkipa wa timu ya Yanga Deogratius Munishi‘Dida’akishuka toka kwenye basi lao. |
Mchezaji Nizar Khalfan akishuka. |
Mchezaji Didier Kavumbagu. |
Mbuyi Twite pia akashuka toka kweney basi. |
Canavaro na Kelvin Yondani nao wakateremka. |
Mchezaji Reliant Lusajo akashuka na kumkumbuka afande Pattie wakapeana kono. |
Nizar Khalifan. |
Akashuka Chumvi,Frank Domayo. |
Baadae Jerryson Tegete. |
Kisha winga machachari Mrisho Ngasa. |
Mshabiki wakaomba angalau wapate kumbukumbu katika simu zao. |
0 comments:
Post a Comment