HAPA LAZIMA UKAE TU, `RONALDO` WA CHALINZE NI HATARI SANA!!
Hadhara Charles maarufu kwa jina la Ronaldo akionyesha uwezo wake wa kucheza na mpira wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge CCM jimbo la Chalinze uliofanyika katika kijiji cha Pongwe Msungura.
0 comments:
Post a Comment