Kipenzi
cha mashabiki: Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs
akiwapigia makofi mashabiki Uwanja wa Old Trafford baada ya kuiwezesha
timu kushinda mabao 4-0 jana dhidi ya Norwich City katika mechi ya Ligi
Kuu England ambayo ilikuwa ya kwanza tangu arithi mikoba ya David Moyes
aliyefukuzwa wiki hii.

Furaha imerudi: Ushindi huo umeisogeza United jirani na Tottenham inayoshika nafasi ya sita

Maarufu: Kocha mpta wa Manchester United akisaini autographs za mashabiki Uwanja wa Old Trafford

Dream Team: Giggs akiwa ameketi na Wasaidizi wake, Nicky Butt, Paul Scholes na Phil Neville


Tunamuamini Giggsy: Mabango ya kumtukuza Giggs

Hivi ndivyo Giggs alipokelewa

Wayne Rooney alifunga bao la kwanza kwa penalti

Danny Welbeck ndiye aliyeangushwa kwenye eneo la hatari na Steven Whittaker

Rooney alimchambua vizuri kipa wa Norwich, John Ruddy aliyechupa upande tofauti na ulipokwenda mpira

Juan Mata alitokea benchi na kufunga mabao mawili


Ushindi
wa 4-0 ulikuwa mkubwa zaidi kwa United katika mechi za nyumbani, ambao
timu hiyo haikuwahi kuupata chini ya David Moyes Uwanja wa Old Trafford
0 comments:
Post a Comment