"Kikosi cha wachezaji wa Azam Fc na viongozi kimewasili mkoani mbeya tayari kwa pambano la kesho dhidi ya mbeya city
Kikosi hicho kesho kitacheza katika mechi yake ambayo huenda ikatoa maamuzi ya Azam fc ya kuwa bingwa kama ikishinda. Azam fc inahitaji point tatu tuu ili iweze kutangaza ubingwa huku ikiwa na mechi moja mkononi
Mungu aibariki Azam Fc"
0 comments:
Post a Comment