Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma Machi 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda baada ya kumwapisha kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma Machi 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, January Makamba (kushoto) na Ismail Jusa Ladhu wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 24, 2014 baada ya Bunge kuahirishwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha Tabora waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma Machi 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
»
»Unlabelled
» WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGE LA KATIBA DODOMA LEO
Monday, March 24, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment