Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na kuwataka kuzingatia maadili na lugha fasaha katika kikao hichi ili kufikia lengo linalotazamiwa kwa maslahi ya Taifa.Wakati wa semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi(Kushoto) leo mjini Dodoma.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Vuai ally Vuai akiongea leo katikasemina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba na kuwataka wajumbe kufuata yale aliyoyasema Waziri Mkuu ya kuzingatia Staha ya Lugha katika Vikao vya Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma.Baadhi ya wa Bunge Maalum la Katiba waliohudhuria katika semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO
Home
»
»Unlabelled
» WAZIRI MKUU AWATAKA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA KUWA NA STAHA NA MATUMIZI YA LUGHA SAHIHI
Tuesday, March 4, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment