WANA LAMBALAMBA WATINGA TANGA NA KULAKIWA NA MASHABIKI WAO!! Wachezaji wa timu ya Azam FC wamewasili Salama bila matatizo yoyote jijini tanga tayali kwa mchezo wa jumatano dhidi ya Jkt mgambo. Kikosi cha Azam FC kimewasili tanga majira ya saa tano Asubuhi kwa basi lake likitokea Dar.
0 comments:
Post a Comment