Saturday, March 1, 2014



Azam FC inaitakia kila la kheri klabu ya Yanga katika mchezo wake muhimu wa kimataifa dhidi ya Al Ahal leo, wachezaji wa Yanga wanatakiwa kufahamu kuwa wao ndo wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia baada ya KMKM , Chuoni na Azam FC kutolewa.

Shime Shime watanzania wote tuungane, tuwe kitu kimoja, tuwape nguvu Yanga kwenye mchezo wao wa leo. Ushindi wa Yanga ni ushindi wetu sote
Mungu ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video