Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba akiiunga Mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma. |
Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba na Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama akiunga Mkono Azimia la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma. |
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Panya Ally Abdalah(Mwenye mtandio wa Zambarau) akiiunga Mkono Azimia la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma. |
Mwenyekiti wa Muda wa Bynge Maalum la Katiba akiwaleza jambo wajumbe wa Bunge Hilo kabla ya kuahirishwa mpaka kesho jioni na Kuwataka wale wanaotaka kuchukua fomu ya uenyekiti kuanza kuzichukua leo. |
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Frederick Msigala akiunga Mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba. |
(Picha na Hassan Silayo-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment