VITUKO UWANJANI:TAZAMA PICHA KOCHA WA CHELSEA "JOSE MOURHINO" AKIZOMEWA NA MASHABIKI WA CRYSTAL PALACE BAADA YA KUTAKA KUMPIGA MTOTO ANAYEOKOTA MIPIRA!! Hapa Jose Mourhino akimshika mtoto wa kuokota mipira kwa hasira Kocha wa Chelsea Josee Mourhino akijibiza na Ball boy anayehusika na kuokota mipira ya njee kwa hasira Oohhhhhh Ohhhhh Ohhhhh mashabibi wa crystal palace wakimzomeaa Jose Mourhino kwa kitendo alichofanya.
0 comments:
Post a Comment