Mkuu wa Wilaya mjini Unguja ,Bw Abdul Mahmood Mzee (katikati) akisalimiana na Bw Charles David wa USAID na Bi Rebecca Savoure Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe Chakula katika viwanja vya Karakana Unguja,wakati wa uhamasishaji juu ya umuhimu na faida za Virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6 – miaka 5.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya 8 za Tanzania bara na 2 za visiwaniMkuu wa mkoa Mjini Magharibi Unguja,Bw Abdallah Mwinyi Khamis (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe chakula(kulia) Bi Rebecca Savoure wakati wa uzinduzi wa kampeni za uhamasishaji virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5,kiwa ni mkakati wa Serikali ya Tanzania,ikishirikiana na USAID Tuboreshe Chakula kupunguza utapiamlo nchiniWanafunzi wa shule za awali waUnguja walishiriki katika sherehe sherehe za uzinduzi na uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.Watoto hawa ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.
Akina mama wenye watoto waliohudhuria kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.Watoto wadogi ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya kumi za Tanzania Bara na Visiwani chini ya udhamini wa USAID

0 comments:
Post a Comment