Waziriwa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akisalimiana na Balozi wa EU nchini Tanzania Filberto Sebregondi.
………………………………………………………………….
Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya kupitia European Investment Bank (EIB) wiki hii umetembelea Wizara ya Maji na kuk utanana Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ofisini kwake.
Ujumbe huu uliongozwa na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom kutoka Luxembourg akifuatana na wawakilishi wengine Richard Willis, Catherine Colllin, Cristian Mejia-Garcia na Anne Claire Dauvier, Adam Grodzicki.
EIB inatoa msaada kwa miradi ya Sekta ya Maji nchini katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inaendelea hapa nchini ikiwemo katika miji ya Mwanza, Bukobana Musoma.
0 comments:
Post a Comment