Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa pongezi kwa hotuba nzuti na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais kulihutibia Bunge hilo Ijumaa mjini Dodoma Machi 21, 2104
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment