
Taarifa ilitotumwa na msemaji wa wa TFF, Boniface Wambura inasema kuwa stars itatu uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere (JNIA) saa 12;45 jioni badala ya muda uliotajwa awali ambao ulikuwa saa 8:15 mchana.
Taifa stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua itawasili kwa ndege ya South Africa Airways.
0 comments:
Post a Comment