Thursday, March 6, 2014

Picha na Bin Zubeiry
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kurejea nchini kesho (Machi 7 mwaka huu) kutoka Windhoek, Namibia kwenye mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA.
Taifa Stars ambayo katikamechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili ya chakula cha mchana na baadaye kuvunja rasmi kambi yake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video