Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga na leo anatarajia kuhitimisha ziara hiyo(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment