Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita(picha na Freddy Maro)
2 comments:
huyu mzee japo tunamponda lakini ukweli ni kwamba anajali na ana roho nzuri
huyu mzee japo tunamponda lakini anajali na ana roho nzuri
Post a Comment