Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua na kukagua bidhaa Soko la Vyakula Michungwani wiyani Muheza leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuzungumza na wafanyabiashara katika soko la Vyakula Michungwani Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoa wa Tanga(picha na Freddy Maro)
Home
»
»Unlabelled
» RAIS DKT. KIKWETE AFUNGUA SOKO LA VYAKULA MICHUNGWANI MUHEZA
Wednesday, March 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment