Hii ndio kauli ya
beki wa kulia wa zamani na hahodha wa Yanga na Taifa stars, Shadrack John
Sanjigwa Mwandemele leo hii kutoka mtandao wa kijamii facebook hii.
“Ninawatakia kila
la kheri timu ya Yanga katika mchezo wenu wa leo(wachezaji siri ya mafanikio ni
kujitumaa ili tutengeneze historia)PAMOJA TUTASHINDA”.
0 comments:
Post a Comment