Sunday, March 9, 2014

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam

MAAFANDE wa Tanzania Prisons wametema mkwara mzito kwa wekundu wa msimbazi Simba sc kuelekea katika mchezo wa leo jioni katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Katibu mkuu wa Wajelajela, Inspekta Sadick Jumbe amesema Mnyama hayuko katika kiwango cha kuwafunga leo hii.

"Ukirejea michezo ya nyuma katika mzunguko huu wa pili, Simba hawajafanya vizuri tofauti na sisi. Nakwamnia hivi, usemi wetu wa Hatoki mtu hapa sokoine utaendelea leo. Ulishasikia wapi moto unazimwa kwa petroli". Alitamba Jumbe.

Bofya hapa kusikia mahojiano ya mtandao huu na jumbe asubuhi hii.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video