Friday, March 7, 2014

Kitwana Manara `Popat` (kushoto) akisalimiana na mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (kulia)

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Kitwana Manara amesema Yanga watakiwa kuingia uwanjani katika mchezo wa jumapili ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri kama walifungwa mchezo wa kwanza.

Amewaasa wachezaji kujituma na kutotumia mfumo wa kujilinda kwani kufanya hivyo watakaribisha mashambulizi zaidi lango mwao.
Enzi zake, `Popat` alikuwa anacheza kwa ustadi mkubwa nafasi ya mlinda mlango na mshambuliaji wa kati (namba 9).

Kali zaidi alisema kuna wakati alikuwa anacheza nafasi ya kipa akiwa na timu ya Taifa, lakini kwenye klabu yake alikuwa akitumika kama mshambuliaji.

Kimsikia mkongwe huyo bofya hapa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video