Wednesday, March 12, 2014


IMG_0008 (1)
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0025 (1) Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata utepe katika uzinduzi wa mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0052Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko akiinua ndoo kwaajili ya kumtwisha mmoja wa wakazi wa Mbagala Kuu baada ya kuzindua mradi huo.
IMG_0092Wageni waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0135Mratibu wa mradi wa maji Mbagala Kuu, Inj. Zefania Mihayo akisoma taarifa ya mradi huo mara baada ya uzinduzi.
IMG_0228Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0238Tanki la maji la mradi wa maji Mbagala Kuu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video