Mamia ya akina mama na wananchi wa Jiji la Mwanza wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi kwenye uwanja wa Nyamagana ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo tarehe 8.3.2014.Ngoma ya asili ya kabila la Wasukuma ya Bugobogobo ikichezwa kwa umahiri mkubwa hata kumfanya Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi katika sherehe hiyo kushuka jukwaani na kuicheza na baadaye kumzawadia mtoto wa kikundi hicho kutoka Mji wa Magu wakati wa sherehe za uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza tarehe 8.3.2014.Ngoma ya asili ya kabila la Wasukuma ya Bugobogobo ikichezwa kwa umahiri mkubwa hata kumfanya Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi katika sherehe hiyo kushuka jukwaani na kuicheza na baadaye kumzawadia mtoto wa kikundi hicho kutoka Mji wa Magu wakati wa sherehe za uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza tarehe 8.3.2014.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza tarehe 8.5.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Nestory Masalu kutoka hospitali ya Rufaa ya Bugando ambaye alikuwa akiwapima akina mama katika kituo cha Afya cha Buzuruga kilichoko katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi katika uwanja wa Nyamagana na kutembelea kituo hicho ambapo wanawake wengi walijitokeza kwa ajili ya kupima.Mke wa Rais na Mweyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanawake na wananchi waliokusanyika katika kituo cha Afya cha Buzuruga kilichoko wilayani Ilemela, Mkoani Mwanza mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya kizazi kwa akina mama tarehe 8.3.2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI
0 comments:
Post a Comment