Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
»
»Unlabelled
» MHE. PINDA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA
Wednesday, March 12, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment