MH. SAMUEL SITTA AWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita
0 comments:
Post a Comment