Sunday, March 9, 2014

TA1A6384Baadhi ya wananchi na wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,kuupokea mwili wa Marehemu  huyo aliyefariki katika Hospitali ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es Salaam.TA1A6385Baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu  Bakari Shaabani  Hassan wakiteremka katika ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ,baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,ikiwa na mwili wa Marehemu huyo.TA1A6388Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo  Wilaya magharibi Unguja.TA1A6394Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo  Wilaya magharibi Unguja.
TA1A6429Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wameubeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya Sitini.TA1A6447Wananchi na jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan waliofika kuupokea Mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ukitokea katika Hospitali ya Jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi tayari ukiwa umeingizwa katikagari la Kijeshi kupelekwa Nyumbani kwao Miembeni Mjini Unguja.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video