Wanawake wanaowakilisha Wizara ya Maliasili na Utalii wakipita mbele ya mgeni rasmi katika uwanja wa Mwembe-yanga.Bibi aliyefurahia maandamano ya wanawake wenzake na kujiunga nao kusheherekea siku ya wanawake duniani.Wanawake wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiserebuka wakati wa maandamano kuelekea uwanja wa Mwembe-yangaBaadhi wa wanawake wa wizara ya maliasili na utalii wakijiandaa kujiunga kwenye maandamano nje ya uwanja wa Mwembe – yanga
0 comments:
Post a Comment