Mjumbe wa Bunge
maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa
(Kushoto) akimweleza jambo mjumbe mwenzie Bw. Saleh Pamba baada ya Bunge
hilo kuahirishwa, leo Mjini Dodoma
|
Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba Bw. Mansoor Hiran akiongea na wanahabari baada ya
Semina ya ya uundwaji wa kanuni zitakazoongoza bunge maalum la katiba
kuahirishwa leo mjini Dodoma.
|
Baadhi wa wajumbe
maalum wa katiba wakibadilishana Mawazo Nje ya ukumbi wa Bunge baada ya
Semina ya ya uundwaji wa kanuni zitakazoongoza bunge maalum la katiba
kuahirishwa leo mjini Dodoma.
|
Posted By Blogger to THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG
0 comments:
Post a Comment