Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa matembezi ya vijana katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania,uzinduzi huo uliofanyika leo katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM Dodoma, [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis (kushoto) na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Sixtos Mapunda wakipeperusha bendera za Muungano na CCM wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yaliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,Mjini Dodoma ,[Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono Wanachama wa CCM na Vijana alipowasili katika viwanja vya Makamo Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo,kuzindua matembezi ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania katika viwanja vya Makao Mkuu Mjini Dodoma leo, [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Vijana wa UVCCM Mkoa Dodoma katika viwanja vya Makamo Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo,akizindua matembezi ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis akisisitiza jambo alipokuwa akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, alipozungumza na Vijana wa UVCCM wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania katika viwanja vya Makao Mkuu Mjini Dodoma leo, [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akikabidhi vifaa kwa waendesha mapikipiki wa CCM watakaoshiriki mbio za kudhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania,zitakazotembea Mikoa ya Tanzia katika wakati wa Uzinduzi wa Matembezi Mjini Dodoma leo , [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma,]
0 comments:
Post a Comment