Saturday, March 8, 2014

KLABU ya Manchester United imewapa faraja mashabiki wake baada ya kikosi hicho cha David Moyes kuitandika mabao 3-0 West Brom.
Ikitoka kufungwa 2-0 na Olympiacos katika mchezo wa kwanza wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya ugenini, United leo ilionekana tangu mwanzo kupania kuwafuta machozi mashabiki wake Uwanja wa The Hawthorns.
Phil Jones aliifungia bao la kwanza United dakika ya 34 kabla ya Wayne Rooney kufunga bao lake la 13 msimu huu dakika ya 65 na Danny Welbeck aliyetokea benchi dakika ya 63 kuchukua nafasi ya Robin van Persie akafunga la tatu dakika ya 82.
Ushindi huo unaipandisha United hadi nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kutimiza pointi 48 kutokana na mechi 28.

Tumezinduka: Wayne Rooney akishangilia bao lake aliloifungia Manchester United dhidi ya West Brom leoRed alert: Rooney, third right, celebrates with his United team-mates after scoring  against West Brom
Rooney wa tatu kulia akishangilia na wenzsakeCrucial strike: Rooney heads home past West Brom keeper Ben Foster
Rooney akifunga kwa kichwa kumtungua kipa wa West Brom, Ben Foster

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video