Madereva Juma na John wakichapana makonde hadharani.…Akiokota jiwe kumshushia kipigo John aliyedaiwa kutaka kusababisha ajali.Juma (kulia) akirusha matusi kwa John.Dereva Juma akimshusha John kutoka kwenye gari lake.Watu wakijaribu kumzuia Juma asimshushie kipondo John.Vidume hao wakiangaliana baada ya kuzipiga.
Gari la Kulwa.Daladala lililokuwa likiendeshwa na Hamis.
DEREVA wa daladala Juma Hamis na John Kulwa aliyekuwa na Toyota Canter wamenaswa na kamera yetu wakichapana makonde hadharani pande za Mwenge jijini Dar, kwa kutoelewana.
Hamis alikuwa akiendesha daladala linalofanya safari zake kati ya Kunduchi na Mwenge lenye namba za usajili T 968 AGP ambapo Kulwa alikuwa na gari aina ya Toyota Canter namba za usajili T945 AM.
(Stori: Jelard Lucas/GPL)
0 comments:
Post a Comment