Saturday, March 22, 2014

: FT: RHINO RANGERS O VS 3 YANGA SC

Dakika ya 90 Hussein Javu anaandika bao la tatu kwa Yanga. Rhino 3-0 Yanga.

Dakika ya 88, Yanga bado wapo mbele kwa mabao 2-0.

Dakika ya 84, Yanga bado wapo mbele kwa mabao 2-0.

Dakika ya 75 Jery John Tegete anakwenda benchi, Javu anachukua nafasi yake.

Dakika 30 zimeondoka, Yanga bado wanaongoza kwa bao 2-0.

Muda mshambuliaji wa Yanga, Hussein Javu anapasha moto misuli, bila shaka anataka kuingia kuchukua nafasi ya mtu.

Dakika ya 22 Young Africans inapata bao la pili baada ya mlinzi wa Rhino kujifunga wakati akiokoa mpira wa Saimon Msuva

Dakika ya 19 kipindi cha pili, bado Yanga wapo mbele kwa bao 1-0.

Dakika ya 15 Rhino wanapata kona, lakini inaokolewa na kuwa kona nyingine. Haizai matunda

Dakika ya 4 kipindi cha pili, bado Yanga wapo mbele kwa bao 1-0.

Sekunde ya 30 kipindi cha pili: Mpira umesimama hapa


Wachezaji wanajiandaa kuingia uwanjani. Oscar Joshua amekuwa wa kwanza. 

TABORA: DAKIKA 45 ZA KIPINDI CHA PILI KARIBU KINAANZA

CHAMAZI: Mpaka sasa Mbeya City wanaongoza kwa mabao 2-0 yaliyotiwa kimiani na Saady Kipanga.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika, Yanga wanaongoza kwa bao 1-0.

Zimeongozwa dakika 3 kabla ya kwenda mapumziko, Tegete anashambulia kwa kasi kubwa

Dakika ya 29 kipindi cha kwanza, Jeryson Tegete anaandika bao la kwanza
Rhino 1 vs 0 Rhino

Here's Young Africans Sports Club to face Rhino Rangers today:
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25

Subs:
1. Ally Mustafa "Barthez" - 1
2. David Luhende - 3
3. Athuman Idd "Chuji" - 24
4. Haruna Niyonzima - 8
5. Nizar Khalfan
6. Hamisi Kizza - 20
7. Hussein Javu - 21

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video