KUTOKA TANGA MGAMBO JKT 0 VS 2 AZAM FC
..........................................................................................
FT: YANGA SC 5 VS 0 PRISONS
Dakika 45 za kipindi cha pili zimemalizika, zinasubiriwa za mwamuzi.
Dakika ya 43 kipindi cha pili Hamis Kiiza anaipatia Yanga bao la 5 .
Dakika ya 36 kipindi cha pili, Yanga bao wako mbele kwa mabao 4-0
Dakika ya 33 Nadir Haroub `Canavaro` anaifungia Yanga bao la 4 kwa penati.
Dakika 32 ya Yanga wanapata penati dakika ya
Dakika ya 31, Mrisho Ngassa anakwenda benchi, nafasi yake inachukuliwa na Haruna Niyonzima
Dakika ya 30 Yanga 2 Prisons 0
Dakika ya 23 Yanga wanaandika bao la 3 kupitia kwa Hamis Kiiza baada ya kuuwahi mpira uliookolewa na Kipa wa Prisons kufuatia mpira uliopigwa na Simon Msuva.
Haruna Niyonzima anapiga jalamba
Dakika ya 17, Yanga 2 Prisons 0

UWANJA WA TAIFA
.....................
Kutoka Tanga, John Raphael Bocco `Adebayor` anaipatia Azam fc bao la kuongoza dakika ya 60.
............................
Hamis Kiiza `Diego` anapiga jalamba, bila shaka anataka kuingia kuchua nafasi ya mtu
Dakika ya 5 kipindi cha pili Prisons wanapata kona, haizai matunda
Dakika ya 2 bado mabao ni 2 kwa Yanga, Prisons 0
Sekunde ya 1, Kipindi cha cha pili kimeanza baina ya Yanga na Prisons.
Waamuzi wanarudi uwanjani kuanza kipindi cha pili
YANGA SC 2 VS 0 TANZANIA PRISONS
UWANJA WA TAIFA
...........................................................................
Kutoka Tanga, mpira ni mapumziko, Mgambo JKT 0 vs 0 Azam fc
.................................................
YANGA SC 2 VS 0 PRISONS
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika.
Dakika ya 45, baada ya Hussein Javu kuingia, Yanga wanashambulia kama nyuki, mithiri ya nyati aliyejeruhiwa
Dakika ya 45 Yanga wanapata kona haizai matunda
Dakika ya 41 kipindi cha pili Emmanuel Okwi anapiga shuti linagonga mwamba
Dakika ya 38 Yanga wanaandika bao la pili kupitia kwa Mrisho Ngassa akimalizia krosi nzuri ya Hussein Javu
Dakika ya 35 Lugano Mwangama anakosa penati baada ya kupaisha mpira langoni.
Dakika 34 Prisons wanapata penati.
Dakika ya 33 kipindi cha kwanza, Jery Tegete anakwenda kwenye benchi nafasi yake inachukuliwa na Hussein Javu
Dakika ya 25, Simon Msuva wa Yanga anagaagaa chini baada ya kufanyiwa madhambi.
Dakika ya 20 kipindi cha kwanza, Emmanuel Okwi anaifungia Yanga bao la kwanza kwa shuti la chinichini kupitia adhabu ndogo nje kidogo ya eneo la hatari.
.Dakika 16 Yanga wanapata kona haizai matunda
Dakika 15 za kipindi cha kwanza zimekatika hakuna bao kwa timu zote.
Dakika ya 10 kipindi cha kwanza milango bado ni migumu kwa timu zote.

Mpira umeanza, sekunde ya 40 Yanga wanapata kona, lakini haizai matunda.
Timu zote zimeshaingia uwanjani, manahodha wanaitwa kwa muda huu.
Wachezaji wa wanaoanza leo hii wapo katika vyumba vya kuvalia, lakini wachezaji wa akiba wa timu zote wameshakaa katika mabenchi yao
YANGA SC VS PRISONS
...............................................................................................................
Here's Young Africans line-up to face Tanzania Prisons today:
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1. Barthez, 2.Luhende, 3.Chuji, 4.Niyonzima, 5.Javu, 6.Kizza, 7.Didier
0 comments:
Post a Comment