Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete,Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein na katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) wakiimba wimbo wa CCM kabla ya Mwenyekiti kufungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Machi 9, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
»
»Unlabelled
» KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KAMATI KUU YA CCM- DODOMA
Sunday, March 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment