Friday, March 7, 2014

Msemaji wa maafande wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ametamba kuwa klabu yao imejiandaa vizuri kuwazamisha maafande wenzao kutoka kule jijini Arusha, uwanja wa Mabatini Mkoani Pwani.

Shooting wameingia katika rekodi msimu huu wa 2013/2014 baada ya kufungwa mabao 7-0 na Yanga ya Dar es salaam katika dimba la Taifa.

Timu nyingine ambazo zimekula kipigo kikali ni JKT Ruvu waliofungwa mabao 6-0 na Prisons.

Mgambo JKT walifungwa 6-0 na Simba mzunguko wa kwanza, huku Ashanti nao wakila kipigo cha 5-1 kutoka kwa Yanga.

Bofya hapa kumsikiliza akiongea na mtandao huu leo hii.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video