Saturday, March 29, 2014

 KOCHA David Moyes ameimaliza vizuri wiki yake ngumu baada ya kushinda mabao 4-1 dhidi ya Aston Villa kwenye uwanja wa Old Trafford.

Mabao mawili yaliyofungwa na Wayne Rooney dakika za 20 na 45 kwa penalti na mengine ya Juan Mata dakika ya 57 na Javier Hernandez dakika ya 90 yalitosha kuiongezea pointi tatu muhimu Man United.

Villa ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Ashley Westwood dakika ya 13 kwa mpira wa adhabu.
United sasa inatimiza pointi54 baada ya kucheza mechi 32 na inaendelea kubaki nafasi ya saba nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 56 za mechi 31.

Ndege iliyoandaliwa na baadhi ya mashabiki wa Manchester na kuipitisha juu ya paa la Old Trafford haikuwa na madhara yoyote kwa kikosi cha Moyes na kumfanya awe na furaha.
Kikundi cha mashabiki wa Man United kilikodi ndege kwa Euro 840 na kuirusha juu ya paa la Old Trafford.
Ujumbe ulioandika kwenye ndege hiyo ulikuwa unamhusu David Moyes uliosomeka ’Wrong One – Moyes Out’,  kwa tafsiri ya “Mtu ambaye si sahihi. Moyes nje”
Lakini kama mashabiki walikusudia kumzodoa Moyes, basi walichemka kwani mashabiki wengi leo walimuunga mkono kocha huyo.
Mashabiki wa nyumbani wa Man United waliizomea ndege iliyokuwa ikizunguka Old Trafford na nyimbo za kumsifu Moyes zilisikika mara kwa mara.
Pumped: Wayne Rooney scored twice as Manchester United beat Aston Villa in the must-win clashJembe: Wayne Rooney alifunga mawili katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya  beat Aston Villa
Tribute: David Moyes applauds the Old Trafford crowd after the victory over Aston Villa
 Furaha: David Moyes aliwanyanyua mashabiki wa Man United nyumbani  Old Trafford baada ya kupata ushindi dhidi ya  Aston Villa
 Kikosi cha Manchester United: De Gea 6, Rafael 5.5 (Carrick, 45), Jones 6.5, Vidic 6.5, Buttner 6; Fletcher 7, Fellaini 6; Kagawa 7.5 (Januzaj, 67), Mata 7.5, Young 5.5; Rooney 8 (Hernandez, 74). 
Kikosi cha Aston Villa: Guzan 6; Bacuna 5, Clark 6, Vlaar 5.5, Bertrand 6; Westwood 7, Delph 5.5, Albrighton 6.5 (Lowton, 78); Weimann 5, Benteke 5.5, Agbonlahor 5 (Tonev, 71)
Perfect start: Ashley Westwood's impressive free-kick gave Aston Villa the ideal opening after 13 minutes
Mwanzo mzuri: Ashley Westwood aliifungia Aston Villa  bao la kuongoza katika dakika ya 13 
Whipped: Villa's Ashley Westwood beats the wall and De Gea to give his side the lead
 Ashley Westwood alifunga bao kwa kupiga shuti lililopita ukuta wa Man United na kumwacha  De Gea hana la kufanya

MATOKEO YA MECHI NYINGINE ULAYA

 England: Premier League

Finished
 Manchester United
Aston Villa
(2-1)

Finished
 West Bromwich Albion
Cardiff
(2-1)

Finished
 Swansea
Norwich
(2-0)

Finished
 Stoke
Hull
(0-0)

Finished
 Crystal Palace
Chelsea
(0-0)

Finished
 Southampton
Newcastle United
(1-0)

29/03 20:30
 Arsenal
Manchester City
 Spain: LIGA BBVA

Finished
 Espanyol
Barcelona
(0-0)

20'
 Celta Vigo
Sevilla

29/03 22:00
 Athletic Bilbao
Atletico Madrid

30/03 00:00
 Real Madrid
Rayo Vallecano
 Italy: Serie A

20'
 Bologna
Atalanta

29/03 22:45
 AC Milan
Chievo
 Germany: 1. Bundesliga

Finished
 Wolfsburg
Eintracht Frankfurt
(0-1)

Finished
 Bayer Leverkusen
Braunschweig
(0-0)

Finished
 VfB Stuttgart
Borussia Dortmund
(2-1)

Finished
 Bayern Munich
Hoffenheim
(3-2)

Finished
 Mainz 05
Augsburg
(2-0)

29/03 20:30
 Freiburg
Nurnberg
 France: Ligue 1

65'
 Sochaux
Marseille
(1-0)

29/03 22:00
 Montpellier
Valenciennes

29/03 22:00
 Evian Thonon Gaillard
Monaco

29/03 22:00
 Nantes
Bordeaux

29/03 22:00
 Reims
Lorient

29/03 22:00
 Ajaccio
Toulouse 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video