
Mechi hizi mbili zina umuhimu mkubwa kwa Yanga na Azam fc kwasababu zinaweza kutoa picha halisi ya nani anaweza kuwa bingwa msimu huu.
Mpaka sasa Azam fc wapo kileleni kwa pointi 50 baada ya kushuka dimbani mara 22.
Yanga wapo nafasi ya pili kwa pointi 46 baada ya kushuka uwanjani mara 21.
Kwa matokeo ya moja kwa moja `Live score` ya mechi hizi mbili yatakuwepo kupitia mtandao huu.
0 comments:
Post a Comment