Sunday, March 30, 2014

Kauli ya Mbeya City: "Asanteni mashabiki kwa kuokoa maisha ya watanzania wenzetu wengi kwa kijitolea damu kiasi hiki kikubwa cha damu mlichokitoa itaisaidia nchi nzima na si Mbeya peke yake kwa kweli MUNGU awabariki sana hii ni zaidi ya huruma maana akina mama wengi hupoteza damu nyingi baada ya kuijifungua, ajali nyingi hutokea, na pia wagonjwa ni wengi wenye kuhitaji damu asanteni mashabiki wetu kwa huruma yenu. sasa tuelekee uwanja wa Sokoine leo tuiunge mkono timu yetu ili iweze kuondoka na ushindi dhidi ya Tanzania Prisons. Amen".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video