Saturday, March 22, 2014

Jioni hii mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara, Young African, wanashuka dimbani huko mjini Tabora kuwakabili wenyeji wa uwanja wa Al Hassan Mwinyi, Maafande wa JWTZ, Rhino Rangers.
Mechi hiyo ni muhimu kwa Yanga kusaka pointi tatu muhimu ili kupunguza pengo la pointi na vinara Azam fc.
Tayari kocha mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans Van Der Pluijm ametaja majina ya wachezaji watakaocheza leo hii.

Here's Young Africans Sports Club to face Rhino Rangers today:
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Frank Domayo "Chumvi" - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25

Subs:
1. Ally Mustafa "Barthez" - 1
2. David Luhende - 3
3. Athuman Idd "Chuji" - 24
4. Haruna Niyonzima - 8
5. Nizar Khalfan
6. Hamisi Kizza - 20
7. Hussein Javu - 21

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video