AZAM FC WAMUUNGA MKONO MALINZI, VIJANA WALIOFUZU MAJARIBIO WAPASHA CHAMAZI!! Wachezaji waliofaulu kujiunga na klabu ya Azam fc katika mpango wa kuendeleza vipaji chini ya miaka14 wakiendelea na mazoezi leo kwenye uwanja wa Azam complex chamazi. Picha zote na Azam
0 comments:
Post a Comment