Msululu wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari baada ya uharibifu mkubwa uliofanyika baada ya kunyesha kwa mvua kubwa za masika ambazo bado zinazoendelea kunyesha mkoani Lindi na baadhi ya maeneo nchini ,hapa ni eneo korofi la kilomita 14 kati ya kilomita 60 zinazoendelea kutengenezwa ili kukamilisha barabara hiyo ya kusini kwa kiwango cha lami.(PICHA NA MDAU PAUL MARENGA WA LINDI)Hapa ni Sintofahamu ya waendako ikiendelea.Abiria mbalimbali wakiwa bado hawaelewi la kufanya kutokana na magari waliyokuwa wakiyatumia kukwama.
Home
»
»Unlabelled
» ABIRIA ZAIDI 1000 NA MALORI 28 YAKWAMA KIJIJI CHA SINZA BARABARA YA SOMANGA NYAMWAGE NJIA KUU YA DSM NA LINDI MTWARA
Monday, March 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment