
•Album hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo 7.
•Mpaka sasa Sikinde wameishazitoa nyimbo tatu za 1. Jinamizi la Talaka, 2. Za Mkwezi Mbili na 3. Nikipata Nitalipa.
•Nyimbo hizi unaweza kuzisikiliza online au ku-download kwenye mtandao wa https://www.hulkshare.com/sikinde
•Nyimbo 4 zilizobakia ambazo nazo zitatolewa muda wowote kuanzia hivi sasa ni 1. Kibogoyo, 2. Dole Gumba, 3. Ng’ombe Haelemewi na Nundu na 4. Tabasamu
•Hii ni album ya kwanza kutolewa tokea mwaka 2009 iliporekodiwa album ya “Supu Umeitia Nazi” album iliyomfanya mwimbaji wake Karama Regesu kuchukua zawadi katika Kili Music Award ya mwaka 2009 kwenye category ya “Mtunzi Bora wa Muziki”.
0 comments:
Post a Comment