Wednesday, January 1, 2014

DSC_0913 (1)Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Benk ya Kiislamu ya PBZ na Tawi Jipya huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.DSC_0915 (1)Mwananchi akipatiwa huduma katika Benki ya Kiislamu baada ya kuzinduliwa huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.DSC_0928 (1)Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitia saini baada ya Kujiunga katika Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.DSC_0974 (1) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee na kushoto yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benk ya kiislam Juma Amour.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video