Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin
Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu
Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin
Amour alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Zanzibar Jumatatu
Januari 13, 2014 baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment