Bondia Joshua Amukulu(kushotO) wa Kenya akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransis Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa kufunga mwaka na kukaribisha mwaka uliofanyika katika ukumbi wa msasani klabu Dar es salaam Miyeyusho alishinda kwa K,O ya raundi ya pili na kuibuka mbabe katika mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |

Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana kakonde na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao wa raundi sita kwa ajili ya kufunga mwaka king class mawe alishinda kwa point Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |

USHINDI RAHA IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’ AKINULIWA MKONO JUU BAADA YA KUMDUNDA MUSTAFA DOTTO WAKATI WA KUSHEREKEA USIKU WA MWAKA MPYA ZAIDI TEMBELEA www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makone na Ibrahimu Maokola wakati wa mpambano wao ulifanyika kwa ajili ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya Kalama alishonda kwa k,o ya raundi ya pili www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao wa kuuwaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya mpambano huo ulito droo picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com |
Cosmas Cheka na Iddy Mnyeke wakipambana |
MABONDIA WAKISUBIRI MATOKEO AMBAYO YALIKUWA NI DROO |
0 comments:
Post a Comment