Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za mwaka mpya wa 2014 kwa wananchi wa Zanzibar,pia amewataka wananchi kudumisha Umoja na kulinda amani na Utulivu uliopo ,salamu hizo alizitoa jana Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment