Kikundi cha Barssband cha Mafunzo kikiwa mbele ya Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yameanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Wanavikundi vya mazoezi ya Viungo wa Zone A,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Kikundi cha Mchezo wa Judo,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali walioshiriki,Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo, yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wazee wa Mchezo wa Bao la kete,wakipita mbele ya Jukwaa la Uwanja wa Amaan,wakitoa heshma kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,katika Bonanza la 5 la vikundi vya mazoezi ya Viungo,lililofanyika leo,Wilaya ya Mjini Unguja,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Watu wenye ulemavu wa Miguu,wanotumia baskeli za maringi wakipita kutoa heshma kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,katika Bonanza la 5 la vikundi vya mazoezi ya Viungo,lililofanyika leo,Wilaya ya Mjini Unguja,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo katika Bonanza la 5,Vikundi vya mazoezi ya Viungo,lililofanyika katika Uwanja wa Amaan,Wilaya ya Mjini Unguja,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha Cheti alichokabidhiwa na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk, katika Bonanza la 5,lililofanyika katika Uwanja wa Amaan,Wilaya ya Mjini Unguja,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment