TANZIA: TAARIFA ZILIZOTUFIKIA KATIKA KITENGO CHA HABARI KUPITIA MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII ZINAELEZA KUWA WAZIRI WA FEDHA MHE. DR. WILLIAM MGIMWA AMEFARIKI DUNIA JIONI HII NCHINI AFRIKA KUSINI KATIKA HOSPITALI YA MILLPARK ALIPOKUWA AMELAZWA KUPATIWA MATIBABU.
LAKINI SERIKALI BADO HAIJATHIBITISHA TAARIFA HIZO.
MTANDAO HUU UNAFANYA JITIHADA KUBWA KUWASILIANA NA WAHUSIKA ILI KUPATA UHAKIKA WA TAARIFA HIZO.
0 comments:
Post a Comment