Na GLADNESS MUSHI, Arusha
ZAIDI ya watoto elfu pamoja na wanawake mia mbili kutoka jijini Arusha wamefanikiwa kuwezeshwa kiuchumi pamoja na kupatiwa elimu mbalimbali ili kupunguza kasi ya ongezeko la watoto mijini lakini pia kwenye vituo vya kulelea watoto yatima.
Hata hivyo watoto hao pamoja na wanawake hao wamefanikikiwa kupatiwa elimu pamoja na uwezeshwaji hali mabyo mpaka sasa imeweza kuonesha mafanikio ya hali ya juu sana.
Wanawake hao pamoja na watoto wamewezeshwa na Kijiji kinachotoa malezi mbadala ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu(SoS)chini ya mradi wa kuimarisha familia(FSP)unaotekelezwa sehemu mbalimballi nchini.
Hayo yamelezwa na Mratibu wa utetezi kutoka katika kijiji hicho cha SOS ambaye ni John Batista wakati akiongea kwenye maazimisho ya ukatili wa kijinsia kwa wanwake na watoto yaliyofanyiika katika eneo la Kimnyaki Jijini Arusha mapema wiki hii.
Batista alisema wanawake hao 200 pamoja na watoto elfu moja wameweza kusaidiwa kutokan ana kampeni ambayo inaendeshwa chini ya SOS ya kupinga nakutokomeza suala zima la unyanyasaji kwenye kwenye jamii.

Alisema
kuwa kwa kuwawezesha wanawake hao pamoja na watoto kutasaidia sana
kupungua kwa umaskini kwenye jamii kwani umaskini unapokithiri basi
unachangia hata suala zima la malezi nalo kuwa duni sana.
“Tunataka kila familia iweze kuwa namalezi mazuri ya watoto hivyo tunaamini kuwa endapo kama utamsaidia mwanamke basi malezi yatakuwa ni mazuri na hivyo atapambana na umaskini wa akili lakini pia hata umaskini wa akili ambao ndio chanzo chake hicho”aliongeza batista.
Mbali na hayo Batista pia alitoa wito kwa jamii kuhakikisha kuwa wanachana na ukatili dhidi ya wanawake lakini pia kwa watoto kwani hali hiyo ndiyo chanzo cha ongezeko la watoto wa mitaani.
“Wazazi leo tunasema kuwa tunapiga vita ukatilii kwa watoto nanyi mnapswa kuhakikisha kuwa mnaachana na tabia ya kukwepa majukumu dhidi ya malezi ya watoto wenu eleweni kwa kufanya hivyo mnasababisha hata umaskini wa kudumu kwenye familia lakini pia hata kwenye nchi’aliongeza Batista.

0 comments:
Post a Comment